Friday, 2 September 2016

TAHARUKI YA ZUKA MBEZI ASUBUH YA LEO

Wakazi wa Mbezi mwisho Jijini Dar es Salaam leo majira ya asubuhi wamejukuta wakipata wakati mgumu kwenda katika shughuli zao za maendeleo wakiwemo wanafunzi baada ya kukosekana kwa usafiri wa daladala hatua ambayo imewalazimu abiria kukaa kituo kwa zaidi ya saa tatu wakisubiri usafiri.

No comments:

Post a Comment