Thursday, 1 September 2016

MTOTO ALIEPOTEA KWA SIKU 13 AKUTWA CHOONI KAFRIKA DUNIA

September mosi 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib amekutana na hii ya mtoto aliyepotea kwa siku 13 Yombo Buza Kanisani Jijini Dar es salaam na baadaye kuonekana akiwa amefariki ndani ya chemba ya choo millardayo.com imekurekodia full stori kutoka kwenye Hekaheka ya leo.
Wananchi wanahisi mtoto huyo aliwekwa kwenye shimo kutokana na mazingira ya chemba hiyo kwenye mfuniko kufunikwa vizuri kwa kipande cha bati

No comments:

Post a Comment