Thursday, 1 September 2016

AZIKWA KTK JENEZA HUKU AMEKAA

Ama kwa hakika ukishangaa ya Mussa utaona ya firauni au ukishangaa ya kuku kula mchele na baadaye huyo kuku kuliwa na wali!

Mzee mmoja kutoka wilayani maswa alisema atakapo kufa azikwe kwenye jeneza akiwa amekaa wosia wake huo umetekelezwa Jana baada ya kuletwa hospitali ya mkoa ya sekotoure mkoani mwanza na kufariki dunia.watoto wake walitekeleza amri na kutengeneza jeneza ambalo Mzee alilihitaji kuwa akifa azikwe akiwa amekaa.

No comments:

Post a Comment