Wednesday, 12 October 2016

HALI SIONZURI KWA VYAMA VYA SIASA NCHINI

Vyama vya siasa nchini vipo ktk hali mbaya kutokana na kukumbwa na migogogro mingi hapa nchini na hii inatokana na hali ya kutokuelewana baina ya viongozi wao,
Halikama hii ilitokea ktk chama cha NCCR MAGEUZI, TLP, UDP, CCM, CHADEMA na sasa ni zamu ya CUF.
Katika hali isiyo ya kawaida chama cha CUF kimekuwa ktk hali hii kwa muda wa takriban mwezi kasoro kikipita katika wakati mgum wa migogoro.

No comments:

Post a Comment