Serikali imewataka
baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS)
walioshirikiana na wenzao wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitisha
makontena zaidi ya 100 bila kukaguliwa na shirika hilo katika Bandari
ya Dar es Salaam kujisalimisha haraka.
No comments:
Post a Comment