UCHAMBUZI: MIGOGORO,
UNAFIKI WA
VIONGOZI VINAUA VYAMA VYA SIASA NCHINI
Moja ya viashiria vya demokrasia katika nchi yoyote ni
kuwa na vyama vya siasa ambavyo vinatimiza wajibu wake kwa mujibu wa sheria za
nchi na katiba zao walizojiwekea. Msingi mkuu wa demokrasia ya vyama vingi ni
Katiba ya nchi.
Nchi yetu iliruhusu mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, na
hapo tukashuhudia kuanzishwa kwa vyama mbalimbali
vya siasa. Mpaka sasa Tanzania ina vyama vya siasa 22 vyenye usajili wa kudumu.
Hata hivyo, vyama vingi ni dhaifu na vinashindwa
kutoa ushindani kwa chama tawala (CCM). Udhaifu huo unasababishwa na ubinafsi
wa viongozi ambao unasababisha migogoro ndani ya vyama hivyo.
No comments:
Post a Comment