Mkuu wa Wilaya Sengerema, Emmanuel Kipole amewasweka ndani kwa saa 12
kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya Sengerema, Osicar Kapinga na kaimu
mhasibu wa halimashauri hiyo, Paul Sweya pamoja kwa kutokutii agizo
lake aliliowapa la kutafuta fedha za kuwalipa wanaofanya usafi katika
mji wa Sengerema
No comments:
Post a Comment