Asilimia 80 ya watanzania wana matatizo mbalimbali ya macho ambayo
wakati mwingine yanasababisha upofu huku serikali ikitakiwa kutoa elimu
ya namna ya kujikinga na tatizo hilo.
Serikali imeombwa kusogeza huduma za macho katika hospitali za wilaya
pamoja na vituo vya afya ili kuwasaidia wagonjwa wenye matatizo ya macho
kwa lengo la kuwasaidia watu wenye matatizo ya macho wakiwemo wale
wenye matatizo ya kisukari .
No comments:
Post a Comment