Mwenyekiti wa kitongoji cha Mapinduzi wilayani Handeni auawa na mwili wake kuchomwa moto.
Aliekuwa mwenyekiti wa kitongoji cha mapinduzi kijiji cha manga kata ya mkata Ndg. Abdallah Bakari ameuwa na watu wasio julikana na mwili wake kuchomwa na moto na kuterekezwa kando ya barabara iendayo Mkata Chalinzi na chanzo cha mauaji hayo hakijafahamika.
Ndugu wa marehemu amesema marehem alipotea takriban asiku mbili zilizo pita na ndipo walipo anza kumtafuta bila mafanikio hatima yake wamekuta mwili wake umechomwa moto na kuterekezwa kando mwa bara bara hiyo.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani Bwana. Boniventure Mshongi amethibitisha tukiuo hilo kweli limetokea
No comments:
Post a Comment