Wednesday, 12 October 2016

VIFAA VYA NIDA VILIVYOIBIWA VYAPATIKANA

Vifaa vya NIDA vilivyokuwa vimeibwa Kishapu wakati zoezi la uhakiki wa watumishi wa serikali na uandikishaji wa vitambulisho vya taifa likiendelea vyakamatwa.
Jeshin la Polisi limejitahidi sana kuweza kurejesha vifaa hivyo vilivyopotea siku 10 mwezi huu ktk Halmashauri ya Kishapu Mkoa wa Shinyanga.
Vifaa hivyo vilikuwa vinatumika ktk shughuli za kuhaki9ki taarifa za wafanyakazi na vitambulisho vya Taifa.
Katika hatua nyingine kamanda wa Polisi amesema amewakamata watu 22 ambao n waganga wa kienyeji wakiwa na nyara za serikali ambazo hutumia kupigia ramli chonganishi.
pia amewakamata watu 28 kwa tuhuma za mauwaji ya vikongwe mkoani humo

No comments:

Post a Comment