Mwanaume wa miaka 36 amekamatwa na polisi baada ya kumbaka bibi yake
mwenye miaka 98 na kumnajisi mtoto wa kike wa miaka miwili na nusu
Muranga nchini Kenya
Tukio hilo limetokea hiv karibun na mtuhumiwa huyo aliwakimbia polisi kwa sasa amekamtwa yupo chini ya ulinzi kali
No comments:
Post a Comment