Wednesday, 12 October 2016

HEKO ACT - WAZALENDO, KATIBA MPYA NDIYO AGENDA YA WAPINZANI





Katika mambo ya msingi ambayo Chama cha ACT-Wazalendo kinapaswa kupongezwa ni hatua yake ya kuibua upya vuguvugu la Katiba Mpya, hii ndiyo ajenda muhimu kwa upinzani sasa.
Nathubutu kusema hii ni kete muhimu ambayo nilifikiri baada ya Rais John Magufuli kuingia madarakani, Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na vyama vya upinzani vingeibeba kama ajenda.
Hii ni kutokana na ukweli kuwa karibu ajenda zote za upinzani walizojinadi nazo wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka jana, kwa sehemu kubwa zimebebwa na zinatekelezwa na Rais Magufuli

HEKO ACT - WAZALENDO, KATIBA MPYA NDIYO AGENDA YA WAPINZANI





Katika mambo ya msingi ambayo Chama cha ACT-Wazalendo kinapaswa kupongezwa ni hatua yake ya kuibua upya vuguvugu la Katiba Mpya, hii ndiyo ajenda muhimu kwa upinzani sasa.
Nathubutu kusema hii ni kete muhimu ambayo nilifikiri baada ya Rais John Magufuli kuingia madarakani, Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na vyama vya upinzani vingeibeba kama ajenda.
Hii ni kutokana na ukweli kuwa karibu ajenda zote za upinzani walizojinadi nazo wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka jana, kwa sehemu kubwa zimebebwa na zinatekelezwa na Rais Magufuli

UNAFIKI WA VIONGOZI VINAUA VYAMA VYA SIASA NCHINI



UCHAMBUZI: MIGOGORO,
UNAFIKI WA VIONGOZI VINAUA VYAMA VYA SIASA NCHINI

Moja ya viashiria vya demokrasia katika nchi yoyote ni kuwa na vyama vya siasa ambavyo vinatimiza wajibu wake kwa mujibu wa sheria za nchi na katiba zao walizojiwekea. Msingi mkuu wa demokrasia ya vyama vingi ni Katiba ya nchi.

Nchi yetu iliruhusu mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, na hapo tukashuhudia kuanzishwa kwa vyama mbalimbali vya siasa. Mpaka sasa Tanzania ina vyama vya siasa 22 vyenye usajili wa kudumu.

Hata hivyo, vyama vingi ni dhaifu na vinashindwa kutoa ushindani kwa chama tawala (CCM). Udhaifu huo unasababishwa na ubinafsi wa viongozi ambao unasababisha migogoro ndani ya vyama hivyo.


HALI SIONZURI KWA VYAMA VYA SIASA NCHINI

Vyama vya siasa nchini vipo ktk hali mbaya kutokana na kukumbwa na migogogro mingi hapa nchini na hii inatokana na hali ya kutokuelewana baina ya viongozi wao,
Halikama hii ilitokea ktk chama cha NCCR MAGEUZI, TLP, UDP, CCM, CHADEMA na sasa ni zamu ya CUF.
Katika hali isiyo ya kawaida chama cha CUF kimekuwa ktk hali hii kwa muda wa takriban mwezi kasoro kikipita katika wakati mgum wa migogoro.

Thursday, 15 September 2016

MCHUNGAJI AKERWA NA HOTUBA YA DONALD TRUMP

Mchungaji wa kanisa la watu weusi la Bethel United Methodist wa jimbo la Michigan, Marekani amemkatisha mgombea urais Donald Trump alipokuwa akihutubia.
Trump alikatishwa kuendelea na hotuba yake alipoanza kumshutumu mpinzani wake Hillary Clinton.
Mchungaji Faith Green Timmons alimkatisha Trump alipomshutumu mgombea huyo wa chama cha Democratic kuhusu mikataba ya kibiashara duniani.

ASILIMIA 58 YA WATANZANIA HAWAMPINGI MAGUFULI 96 WANAMKUBALI KWA NGUVU

Utafiti mpya umebaini kuwa asilimia 96 ya wananchi wanamkubali Rais John Pombe Magufuli.
Taasisi ya Twaweza jana ilitoa utafiti huo ambao ulibaini zaidi kuwa asilimia 58 ya wananchi hao hawapingia kitendo chochote cha Rais.
Matokeo haya yametolewa na Twaweza kwenye utafiti uitwao Rais wa Watu? Tathmini na matarajio ya wananchi kwa serikali ya awamu ya tano. Muhtasari huu unatokana na takwimu kutoka Sauti za Wananchi.
Sehemu walizo fanyia kazi katika utafiti wao ni kama ifuatavyo:-
1. Kuondoa watumishi hewa wananchi wamemkubali kwa 69
2. Kutoa elimu bure 61
3. Usimamizi wa wafanya kazi wake 61
4. Kasi yake kuleta mabadiliko 88
5. Usimamizi wa wafanyakazi wengine ktk serikali za mitaa na serikali kuu 78 mwenyekiti wa mtaa/ kijiji
    Diwani 76 na mbunge 68

AUWAWA KWA KISU KISA WIVU WA MAPENZI NCHI

Mwanamke mmoja huko Karumandi katika Kaunti ya Kirinyaga ameuawa katika ugomvi wa mapenzi.

Mwanamke huyo Rose Wanjiku(40) amefariki akiwa njiani kuelekea hospitali baada yakuchomwa na kitu chenye ncha kali akiwa sokoni.

Ameuawa akiwa sokoni akinunua bidhaa mbalimbali na mwanamke mmoja akamshambulia na kisu.

Mwanamke huyo aliyemuua mwenzake inadaiwa alikuwa na mahusiano mume wa mtu.
=========================


A woman in Karumandi, Kirinyaga County was killed in a suspected love triangle.

Rose Wanjiku, 40, died on the way to hospital after she was stabbed several times by her assailant within the market. A witness, Joyce Wanjira, said Ms Wanjiku was attacked as she shopped at the market at around 4.30pm on Monday. "I saw Wanjiku arriving at a green grocery stall to buy some foodstuffs. Suddenly, I heard her screaming for help as another woman attacked her with a knife," said Ms Wanjira.

The witness said the attacker held her victim as she stabbed her repeatedly. The public, however, subdued the attacker and rushed the woman to Kianyaga Level Four Hospital where she was pronounced dead on arrival. Her attacker was frog-matched to the nearby Administration Police camp, even as the mob bayed for her blood.

It was claimed that Wanjiku had been cohabiting with the attacker's husband, and the two women had become protagonists over the illicit love affair.

Kirinyaga East Sub-County AP Commandant Stephen Munyi said the suspect was later taken to Kianyaga Police Station and locked up for interrogation, as the officers launched investigations into the matter.

In a different incident, Alice Wawira from Nduini village in Kirinyaga Central sub-county was hospitalised with serous injures after an attack by another woman over her husband. Ms Wawira, was attacked right at the door step of her house for allegedly objecting to a relationship between her husband and the assailant.

Area chief Sebastian Githii said the alleged affair has been the talk of the village for long.