Monday, 29 June 2020

Ajira mpya

KWANINI HAUNA AJIRA WAKATI SISI qtech solution TUPO HAI?


qtech solution ni mojawapo ya Kampuni zinazotengeneza system
/mifumo aina mbali mbali kwa matumizi ya kila siku mtandaoni ambayo hauhitaji kumuunga mtu yoyote ila unapewa elimu ya Data entry BURE!


Ambayo itakusaidia wewe kuwa Bwana au Bibi masoko mkubwa online na offline nchi, tunakupa uwezo wa kufanya kazi nchi nzima safari
popote Tanzania nzima, kwa wateja wako popote utakapo hii itakukuza kiuchumi mwenywe kwa kuwekeza na kukusanya mapesa lukuki kila upatapo mteja.


Qtech ni zaid ya fursa ya kawaida utasoma bure kwa muda wa husika kulingana na chaguo lako la system
/mifumo uliyoipenda katika system/mifumo yetu.


Maarifa haya yatakusaidia na kukupa
AJIRA YA KUDUMU muda wote kama ni kujana mchapa kazi wa kweli unatafuta fursa njoo kwa urahisi zaidi kupitia qtech solution hapa Kinondoni Manyanya. Dar es salaam.

WANATOA MAFUNZO
NA AJIRI HAPO HAPO KUPITIA ONLINE NA OFFLINE, UTAKUWA NA UWEZO WA KUINGIZA KIPATO CHA KUANZIA TSH 40,000/= NA ZAIDI KWA SIKU MOJA.
MUDA WA MAFUNZO: WIKI 1-3 kwa Esales System
WIKI 1-Mwezi 1 kwa eHospital System
WIKI 1- MIEZI 2 kwa eSchool System.

Ajira itawahusu wenye sifa hizi hapa chini

SIFA ZA MUOMBAJI

1.     Elimu ya kidato cha 4

2.     Ujuzi wa komputa

3.     Umri miaka 18-40

4.     Mtanzania

5.     Muadilifu

6.     Muaminifu

7.     Mwenye kujituma

8.     Elimu ya masoko ni kipaombele cha ajira hii

 

NB:Kwa maelezo Zaidi  piga au whatsapp 0757502744/ 0694230660 au ramadhankilima2015@gmail.com / ramadhankilima@ymail.com kama upo tayari njoo ofisin kwetu

 

HAKUNA MALIPO WAKATI WA MASOMO WALA KUAJIRIWA UTAOMBWA




No comments:

Post a Comment