PM Majaliwa amewaagiza RC wa Iringa, Dodoma, Singida na Mbeya kuzuia
wananchi kufanya shughuli za kilimo na ufugaji kwenye vyanzo vya maji
Thursday, 19 January 2017
Baraza laCountries with the Strongest Armies In Africa (according to the 2016 GFP report): 1. Egypt
Countries with the Strongest Armies In Africa (according to the 2016 GFP report):
1. Egypt
2. Algeria
3. Ethiopia
4. Nigeria
5. South Africa
The Gambia's Army Chief, Lt. Gen. Ousman Badjie.
“I am not going to involve my soldiers in a stupid fight, I love my men.” - The Gambia's Army Chief, Lt. Gen. Ousman Badjie.
TANGAZO LA KAZI KWA WAKAZI WA DAR NA MAENEO JIRANI
AJIRA! AJIRA!
AJIRA! AJIRA!
Kilima
Investment Secretary inapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kuomba nafasi za ajira zilizo tangazwa kwa ajili ya kuzijaza haraka iwezeknavyo.
kama ifuatavyo.
AINA YA AJIRA: KATIBU MAHTASI (PERSONAL
SECRETARY) NAFASI 2
MAJUKUMU YA KAZI:
v
Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
zinazo husu ofisi.
v
Kusaidia kupokea wageni au wateja katika kazi
yake kuwasaili shida zao
v
Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, mapato,
kutoa huduma kwa wateja kama zitahitajika. miadi na wageni, tarehe za vikao,
ratiba ya kazi zingine zilizopangwa.
v
Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake
majadala, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo
ofisini.
v
Kusaidia kupokea order za wateja, kutoa taarifa za kupungua kwa
bidhaa katika ofisi yake, invoice za madai kutoka sehem mbali mbali na
kuyakusanya, kuyatunza na kuyaweka sehemu zinazohusika.
v
Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na
Msimamizi wake wa kazi kulingana na taaluma yake.
v
Kusimamia suala la usafi katika sehemu yake ya
kazi kwa ujumla pasina kulazimishwa na mtu.
v
Pia atakuwa mshauri wa msimamizi wake katika
shughuli yake kitaalam ili kuweza kuleta ufanisi wa kazi na tija kazini.
SIFA ZA MWOMBAJI:
SIFA ZA MWOMBAJI:
v
Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 – 28
v
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV
waliohudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu.
v
Mwenye ufaulu wa somo la Hati mkato ya Kiswahili
na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja
v
Awe amepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo
chochote kinachotambuliwa na kina usajili wa uhakika.
v
Alie faulu vizuri katika cheti chake programu
za'' Window, Microstoft Office, Internet, E-mail na Publisher''
MSHAHARA : Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara yaani TGS kwa mwezi.
MSHAHARA : Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara yaani TGS kwa mwezi.
Maombi yote yatumwe kupitia anuani hapo chini Email zote
zita jibiwa haraka mwisho wa maombi 30.01.2017.
ONYO : usidanganywe kwa kupigiwa sim na mtu yeyote ila namba ya ofisini iliyosajiliwa kwa jina la kampuni, Gharama za chakula na usafiri kwa watahiniwa ni jukumu lao kipindi cha Usaili.
Hii kazi ni kwa wakazi wa Dar Es Salaam tu na maeneo ya jirani
ilikuepusha usumbufu.
S.L.P. 42094
Dar Es Salaam.
Subscribe to:
Posts (Atom)