Thursday, 19 January 2017

wananchi kufanya shughuli za kilimo na ufugaji kwenye vyanzo vya maji

PM Majaliwa amewaagiza RC wa Iringa, Dodoma, Singida na Mbeya kuzuia wananchi kufanya shughuli za kilimo na ufugaji kwenye vyanzo vya maji

JPM ateta na Mkapa Ikulu


Kiongozi Chadema avuruga mkutano CCM, apokea kichapo


Afariki dunia baada ya kuhukimwa jela maisha kwa kunajisi


Baraza laCountries with the Strongest Armies In Africa (according to the 2016 GFP report): 1. Egypt

Countries with the Strongest Armies In Africa (according to the 2016 GFP report): 1. Egypt 2. Algeria 3. Ethiopia 4. Nigeria 5. South Africa

The Gambia's Army Chief, Lt. Gen. Ousman Badjie.

“I am not going to involve my soldiers in a stupid fight, I love my men.” - The Gambia's Army Chief, Lt. Gen. Ousman Badjie.

TANGAZO LA KAZI KWA WAKAZI WA DAR NA MAENEO JIRANI



AJIRA!   AJIRA!   AJIRA!   AJIRA!
Kilima Investment Secretary inapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kuomba nafasi za ajira zilizo tangazwa kwa ajili ya kuzijaza haraka iwezeknavyo.
 kama ifuatavyo.

AINA YA AJIRA:  KATIBU MAHTASI (PERSONAL SECRETARY) NAFASI 2

MAJUKUMU YA KAZI:
v  Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida zinazo husu ofisi.
v  Kusaidia kupokea wageni au wateja katika kazi yake kuwasaili shida zao
v  Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, mapato, kutoa huduma kwa wateja kama zitahitajika. miadi na wageni, tarehe za vikao, ratiba ya kazi zingine zilizopangwa.
v  Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majadala, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo ofisini.
v  Kusaidia kupokea  order za wateja, kutoa taarifa za kupungua kwa bidhaa katika ofisi yake, invoice za madai kutoka sehem mbali mbali na kuyakusanya, kuyatunza na kuyaweka sehemu zinazohusika.
v  Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msimamizi wake wa kazi kulingana na taaluma yake.
v  Kusimamia suala la usafi katika sehemu yake ya kazi kwa ujumla pasina kulazimishwa na mtu.
v  Pia atakuwa mshauri wa msimamizi wake katika shughuli yake kitaalam ili kuweza kuleta ufanisi wa kazi na tija kazini.

SIFA ZA MWOMBAJI:
v  Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 – 28
v  Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu.
v  Mwenye ufaulu wa somo la Hati mkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja
v  Awe amepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na kina usajili wa uhakika.
v  Alie faulu vizuri katika cheti chake programu za'' Window, Microstoft Office, Internet, E-mail na Publisher''

MSHAHARA : Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara yaani TGS kwa mwezi.
Maombi yote yatumwe kupitia anuani hapo chini Email zote zita jibiwa haraka mwisho wa maombi 30.01.2017. 
ONYO : usidanganywe kwa kupigiwa sim na mtu yeyote ila namba ya ofisini iliyosajiliwa kwa jina la kampuni, Gharama za chakula na usafiri kwa watahiniwa ni jukumu lao kipindi cha Usaili.
Hii kazi ni kwa wakazi wa Dar Es Salaam tu na maeneo ya jirani ilikuepusha usumbufu.

S.L.P.  42094
Dar Es Salaam.

mkulima akimbia na mkopo wa bank

mkulima huyu