Mkurugenzi wa mashitaka (DPP) amemuongezea shitak lingine mshitakiwa Salum, Nwete alimaarufu kwa jin al aScorpion jana mara baada ya kupandishwa kizimbani .
Scorpion atakuwa na mashitaka mawili moja la unyanganyi wa kutumia slaha na jingine ni la kujeruhi kwa kutumia slaha.
Baada ya kusomewa yote hayo Scorpion alikana maelezo ya wakili wa serikali na kukubali mashitak mawili tu.
Kesi hiyo imeahirishwa mpa tarehe 14 Desemba na mshitakiwwa amerudisha rumande kwakuwa anakesi ya kukosa dhamana